2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU ITAKUWA WAZI TAR 20.5.2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA 
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA SANA 
DINNING ROOM 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW DAWASA 
LUKU YAKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI 
TILES,GYPSUM 
GARDEN SAFI 
PAVING BLOCK SAFI
MAZINGILA MAZURI MNOO
ELECTRONIC FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI YAKE 500K X 4
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363




















