2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


T 2-Bedroom Apartment for Rent - 600K
• Location: Goba Njia Nne (Madale Road)
Maelezo ya Nyumba:
V Vyumba 2 (1 ni Master)
V Sebule kubwa sana
V Jiko la kisasa lenye makabati
V Public toilet
Huduma Zingine:
6g Parking inapatikana
* Hakuna AC
• Ulinzi 24/7
Masharti ya Malipo:
$
Kodi: 600,000 Tsh kwa mwezi
Malipo ya miezi 6
• NOTE: Kwenye Compound zipo 2, Sebule ni kubwa sana, lakini vyumba sio vikubwa.
Gharama Nyingine:
X Service charge: 20,000 Tsh (malipo ya mara moja tu)
Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
& Mawasiliano:
→
Piga/WhatsApp: +255 652251725