2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VIWILI 
INAPANGISHWA APARTMENT 
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA NASHPARK 
______________
KODI TSHS LAKI 800,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA 
_______
YENYE:-
Vyumba Viwili vikubwa vya kulala #MASTA #Sebule kubwa  #Jiko zuri lenye #makabati  #Choo/#Bafu vya ndani public 
#Gypsum #Tiles #Windows #Full Ac
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden 
#FencedHouse
____________
Nione
dalalimbezibeach_goba_salasala 
#0715127812call




















