2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam







#VYUMBA_VIWILI  _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-  GOBA LASTANZA ( Kinzudi road)
KODI  TSHS LAKI  500,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI  6
APART YA KISASA
KUBWA YA KIFAMILIA 
YENYE
Vyumba viwili vya kulala,  # Master #Sebule kubwa Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public 
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows 
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
Garden 
Nione 
dalalimbezibeach_salasala 
Call/WhatsApp 
069240663
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙏




















