2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: GOBA NJIA YA MAKONGO
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 10 Kutoka Main Road, Boda 1000
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI Vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa la Kisasa
• Public Toilet
• Reserve Tank
• Full AC
• Heater
• Electrical Fance
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo Mazingira Mazuri Umeme LUKU inajitegemea na Maji yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 650,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0742260844
0657384670