2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
๐งLocation :: GOBA NJIA NNE
๐งBei :: 650,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
๐Sebule
๐Choo cha Public
๐Jiko zuri kubwa
๐Fence
๐Service charge 20,000/=
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782 724 115
Call /Whatsapp