2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE HONDOGO
Vyumba viwili vya Kulala sebule jiko na public toilet( kwenye master kuna bafu tu)
Kodi 250,000 kwa mwezi × 4
Umbali KM 3
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
###0655256419