2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE SEC. #300k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet na stoo
Kodi 300,000 × 6
Zipo apartment 3 kila apartment Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO
Umbali km 3 kutokai stand, usafiri boda boda 1500
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167



















