2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







200,000 x6. 0759151524
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #200K
Vyumba viwili vya Kulala kimojawapo master bedroom sebule sehemu ya jiko na public toilet nje
Kodi 200,000 kwa mwezi ×6
Umbali dakika 12 kwa mguu lami hadi getini
Ndani ya fence parking kubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
0679 956 863
0759151524
0781 418 437