2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA
ZIKO-DAR ES SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI KIBADA FULL SHANGWE
UMBALI DK 2 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
APARTMENTS 4 MPYA ZA KISASA
ZA KIFAMILIA ZOTE ZINFANANA
3 NDO ZIKO WAZI
1 INA;
Vyumba viwili vya kulala kimojawapo ni Master, Sebule, Jiko @ Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji 1 Inajitegemea
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
FencedApart
KODI TSHS LAKI 8 KWA MWEZI
MALIPO KUANZIA MIEZI 3
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118