2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE
Kodi 350,000/= ร6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYE MAKABATI NA
PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
APARTMENT INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING IPO MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU
NYUMBA IPO KWENYE UKARABATI MDGO INAPIGWA RANGI NDAN YA FENS ITAKUA MPYA ZAIDI YA UNAVYOONA APA
Service charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















