2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO MBILI INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA ..KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NDANI
๐#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
๐#MAJI DAWASA MITA YAKO NA SIMTANK LAKO
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE LKN HAILAZI GARI
๐ฐBEI NI 350,000/= X 5 ,6
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1..USAFIRI BAJAJI 500..
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710



















