2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 400,000X5x6 APARTMENT KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
🌍 LOCATION: KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE NZURI SANA
JIKO LA KISASA FULL MAKABATI
MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
✔️NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
✔️ PARKING SPACE KUBWA SANA
✔️ UMEME LUKU INAJITEGEMEA
✔️ METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️ MAJI YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
✔️FENI ZA JUU
✔️ GARDEN SAFI
KODI NI Tsh. 400,000X5X5
📌ILIYOWAZI NI YA JUU NAYA CHINI
SERVICE CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637