2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA ZIMEBAKI 2 TU MOJA YA 600K NYINGINE YA 400K
=================
NI APARTMENT NZURI SANA MPYAAAA KABISA
================
ZINAPANGISHWA: LOCATION KIMARA KOROGWE
===============
ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI APA
===============
YA KWANZA
===========
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI NA
PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
๐ฐKODI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
================
YA PILI
======
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
๐ฐKODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
==============
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
==============
IZI APARTMENT ZINAFIKIKA KWA GARI YA AINA YOYOTE
================
UMBALI NI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 50P UKISHUKA DK MOJA UPO NYUMBAN
=============
SERVICHAJ ELFU 15
==============
CONTACT#0625606710