2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
Ipo Karibu Na Barabara
Location: KIMARA SUKA
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: Dakika 8 Kutoka Morogoro Road 🚶
PRICE: 400,000 × 4/5/6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Store Kubwa
✍️Umeme Na Maji Independent
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Parking Space Available 🚘
✍️Good Environment 💥
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp