2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa KIMARA KONA dk 3 kutoka main road
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA
Master bedroom
Sebule
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles & gypsum
Parking yakutosha
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.


















