2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BAJAJ UPO 24 HRS
BEI NI 400,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
ZIPO MBILI COMPOUND MOJA
NOTE
ITAKUWA WAZI TAREHE 18/08
###0655256419