2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam





APARTMENTS HIYO APO MOJA ITAKUWA WAZI MWISHO WA MWENZI HUU KUONA KULIPIA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUEPO
๐ฅ NYUMBA HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 NDANI NA ZOTE ZINAPANGISHWA LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI NA APARTMENT
#PARKING KUBWA
#PAVING
APARTMENT ZOTE 3 INAPANGISHWA LAKI NA NUSU KWA MWEZI
๐น๐ฟ NYUMBA HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
BEI NI LAKI TATU NA NUSU 350x6 KODI MIEZI 6
๐น๐ฟ APARTMENT HIZI ZIPO MTAA MZURI SANA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343