2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610 
APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO NNE INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA.  CALLL 0788 343770 WASPH O715450281 
#SEBULE 
#JIKO KUBWA 
#PUBLIC TOILET NDANI
๐#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
๐#MAJI DAWASA MITA YAKO NA SIMTANK LAKO
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PACKING SPACE KUBWA 
NB:NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 27/08/2025..KUONA NA KULIPIA RUKSA
๐ฐBEI NI 300,000/= X 5 ,6 
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
 .. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..USAFIRI BAJAJI 800..BODABODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA




















