2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐ APARTMENT INAPANGISHWA
๐ Mahali: Kimara temboni
๐Umbali 2Km Kutoka Morogoro Road Bajaji 700 Boda boda 1000 tu
๐ SIFA ZA NYUMBA
๐น Vyumba 2 (kimoja ni Master)
๐น Sebule kubwa
๐น Jiko
๐น Choo cha familia (cha ndani)
๐น Umeme na maji vinajitegemea
๐น Fence & parking kubwa
๐ธ Kodi: Tsh 300,000 ร 6 miezi
๐ธ Dalali: Tsh 300,000
๐ธ Service charge: Tsh 15,000
๐ Wasiliana nasi:
๐ฒ 0740 747 383 (Simu & WhatsApp)



















