2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA IYO INAPANGISHWA VYUMBA VYA KULALA 2 SEBLE JIKO INA MASTER NA PABLICK JIKO KUNA MAKABATI UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA NYUMBA NI MPYA PEVING SAFI KODI LAKI 5 KWA MWEZI MIEZI 6 NA MWEZI MMOJA WA KULINDA NYUMBA .
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KUTOKA BARABARA YA ZEGE DAKIKA 0 .
ZEGE IPO HADI GETINI
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Kali Executive Apartment
Location Kimara Korogwe Barabara ya zege Ya Ubungo External Maji Chumvi
Lami mpaka home
Kodi 500000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Dining room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Lami mpaka home
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565



















