2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM BODA ELF MOJA
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=X 6
๐๐APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#FENI NZURI YA JUU
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
โโโโโโโโโโ
CONTACT US:-
0716233412
0618976024