2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri Inapangishwa
Location: KIMARA KONA
Distance: Dakika 4 Kutoka Morogoro Road
KODI 300,000 × 6
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✔️Chumba Kimoja Master
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Public Toilet Nzuri 🚻
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Haina Fence
✔️Usalama Kama Lugalo
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp