2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#0742260844 #0657384670
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
=====================
IPO KIMARA SUKA UMBALI WA KM 1.5 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
===================
KODI NI 280,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
===================
SIFA ZAKE
==========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
====================
APARTMENT INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI GARDEN NZURI MAZINGIRA SAFI KABISA NA TULIVU MNOO
====================
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN NA TANK LAKO MWENYEWE LA MAJI
===================
NYUMBA INAFIKIKA MUDA WOWOTE PAMOJA NA HIKI KIPINDI CHUA MVUA NYINGI ZINAZOENDELEA KUNYESHA
==================
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 UPO HOME
===================
SERVICHAJ ELFU 15
================
CONTACT
0742260844
0657384670