2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA  KIMARA MWISHO  AU KIMARA STOPOVER  ZOTE NJIA UMBALI WA KM 2 BAJAJI 1000 BODA 1000
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI 
PUBLIC TOILET KALI
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES  SAFI
SLIDE WINDOW 
MAZINGILA MAZURI 
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA  ITAKUWA WAZITA /20/WEZI /15/4/20 /25  KUONA NAKULIPIA INAWEZEKANA WAHI
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 300,000/=×6
SERVER CHARGE NI 15,000
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363




















