2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI MPYA KODI 350,000X6
LOCATION KIMARA BARUTI DK 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BODA 1000 HADI NYUMBANI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LINAWEKWA MAKABATI
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#FULL ICE
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347