2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA
IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
KODI 400,000 × 6
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#CCTV CAMERA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA SANA 🚗
#GARDEN NZURI
BEI NI 400,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp