2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Kimara Korogwe
Bei: 700k Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
#WAPANGAJI_WAWILI_TU
Nyumba ipo upande wa kushoto kwenda mjini
☑️Vyumba viwili vyote Master
......Sebule...Public toiletinside
......Jiko lenye makabati
☑️Umeme Mita Yako
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Maji Ulinzi Usafi Taka Ni Bure
☑️Wi-Fi, Mlinzi Wa Kampuni
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/=
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact
Call/Whatsapp:
0654101710
0787205300


















