2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA IPOWAZI
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
‼️ KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
NA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2👈 BAJAJI 700 👈BODABODA1000
📌📌 SERVICE CHARGE NI SHILINGI ELFU 15 TUU NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI YA DALALI SHILINGI LAKI 2 NA NUSU
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 5637