2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
๐ฐBEI;250,000/= MIEZI 6
VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA WAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA NA
CHOO CHA PUBLIC
UMEME UNAJITEGEMEA NA MAJI UNAJITEGEMEA
NI 250K
LOCATION:KIMARA MWISHO
BODA 2000
Bajaji 1000
Ukishuka unapiga teke mlango
MAWASILIANO#0625606710
Service charge 15,000/=