2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


400,000x6 MPYA mpya MPYAAA
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #400k
===
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms
sebule
jiko na
public toilet
===
๐ฐKodi 400,000 Kwa mwezi ร 7
===
Umbali KM 1 Usafiri bajaji zipo
Unaweza kutembea dakika kumi na tano kwa miguu kutoka Mwendokasi
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===#0625606710
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====