2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


IMESHUKA BEI SASA 230,000X6🏃🏃🏃🔥🔥🔥
APARTMENT NZURI MPYAAA!!! INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA STENDI KM 1.3 KWA MGUU DK 20 AU BODABODA 1000
KODI TSH 230,000X6
SIFA ZIFUATAZO!;
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE PUBLIC TOILET NDANI
JIKO SAFI OPEN KITCHEN
UMEME UPO MAJI YANAFLOW NDANI
HAKUNA FENSI KUNA PARKING IPO WAZI HAKUNA FENSI
NYUMBA MPYA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
KUONYESHWA NYUMBA TSH 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258