2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🚨🔥 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Eneo: Kimara Korogwe
🕑 Umbali: Kutoka standi ya mwendo kasi ni takriban 1km — usafiri wa boda ni Tsh 1,000 au dakika 15 kwa miguu kufika nyumbani.
🏠 SIFA ZA NYUMBA
🔸Vyumba viwili (kimoja ni Master)
🔸 Sebule kubwa
🔸Jiko la ndani
🔸 Choo cha ndani (Public Toilet)
🔸 Umeme Luku yake binafsi
🔸 Maji yanatoka ndani, yana mita yake
🔸 Fensi na parking kubwa
📅 Inakuwa wazi kuanzia tarehe 30/10/2025 — unaweza kuja kuangalia na kufanya malipo yanapokelewa.
GHARAMA
🔷 Kodi: Tsh 350,000 × miezi 5 au 6
🔷 Malipo ya dalali: Tsh 350,000
🔷 Service charge: Tsh 15,000
#Piga_simu 👇
# .&Whatsapp📞
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊
##0655256419