2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri
Location Kimara Stop Over Km 2 from Road Usafiri ni Bajaji na Boda
Kodi 400000×3 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Open Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi