2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(400,000X6)KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000/=X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 02/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA
🌟🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#FENI NZURI YA JUU
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING
BEI NI 400,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 02/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA NDUGU MTEJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT
#0785889413
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲