2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


150,000 x4 KIMARA MWISHO
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
===
Vyumba 2 vya kulala sebule hainajiko na public toilet
===
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 4,5,6
===
Umbali km 2
Ipondani ya fence inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Haina jiko
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0715949085
0782838336