2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 400,000

(400,000X6) KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#CCTV CAMERA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

BEI NI 400,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0781 418 437

0679 956 863

0759151524

dalali_shamte_kimara_ubungo
dalali_shamte_kimara_mbezi__
dalali_shamte_kimara_ubungo

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA KM2 KUTOKA LAMI ----...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA NA HII MOJA NDIYO IPO WAZI KIMARA STOP OVER KM1.5...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

(170,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔APARTMENT FOR RENT 💥 BEI NI 170,000/= × 6🌟 APARTMENT HII INA SI...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI .VYUMBA 3 VYA ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWEUmbali wa ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BUCHADK 4 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200,000/=X6SIFA ZAKE NI CHUMB...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI .VYUMBA 3 VYA ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BUCHADK 4 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200,000/=X6SIFA ZAKE NI CHUMB...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BUCHADK 4 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 200,000/=X6SIFA ZAKE NI CHUMB...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

KODI 450000X4/5/6NYUMBA YA KUPANGA STENDI ALONI -------------IPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KUTOKA BA...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟 NYU...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI .VYUMBA 3 VYA ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6Chumba cha kulalaChoo ndaniJik...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

( 70,000 x 6 ) KIMARA MWISHO SINGLE ROOM KUBWA SANA INAPANGISHWA NDANI YA FENSIUMBALI WA KILOME...