2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA STOP OVER
KODI 350,000X6
UMBALI KM1
BODA 1000
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
NA JIKO NZURI LA KISASA
TOILET PUBLIC YA NDANI
VYUMBANI KUNA MAKABATI YA NGUO
NYUMBA IPO NDANI YA FENC PARKING KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI NA PIA YANA FLOW NDANI MASAA 2A
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI SIMU 0659336751 WSP 0786085637