2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
#LOCATION KINYEREZI MSIKITINI (KWA DITOPILE)
#BEI 350,000
VYUMBA VIWILI MASTER MOJA
SEBULE KUBWA
JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI
CHOO CHA PUBLIC NDANI
UMEME MAJI INAJITEGEMEA
KWENYE FENCE ZIKO NNE
NYUMBA NI YAKISASA
MAZINGIRA TULIVU
GHARAMA ZA KWENDA KUONA NI 20,000
0785088191
0715800811