2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam


New apartments zinapangishwa
Zipo madale mwisho
Umbali boda elfu moja
Muundo wa Nyumba
🥕Vyumba viwili vya kulala kimoja self
🥕Jiko zuri kubwa lenye makabati
🥕Choo Public
🥕Bei yake 300k malipo ni miezi 6
🥕Tupigie cm 0782 724 115