2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 220,000/= X 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#HAKUNA JIKO
#KORIDO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
❌ZIPO NDANI YA FENSI ILA HAKUNA PARKING YA GARI NI UNAPAKI BODABODA NA BAJAJI TUU
BEI NI 220,000/= X 6
💫💫APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI NA BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347


















