2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro


Apartment kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 600,000 kwa mwez
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Fensi parkingi ipo
@
Garama ya kupelekwa nj sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687