2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO MBEZI MWISHO NYUMA TU KIDGO YA STEND YA MAGUFUL BUS TEMINAL
UMBALI WA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU TOKA MOROGORO ROAD PIA USAFIRI WA BODA UPO ELFU MOJA TU MPKA GETIN
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM SAFI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
FULL GARDEN
MAZINGIRA MAZUR
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
RESEV TANK
LAKO MWENYEWE
.
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347