2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENTS NI NZURI SANA
BEI SH 410,000/
SERVICE CHARGE SH 20,000/
MALIPO YA DALALI NI MWEZI 1
VYUMBA 2 VYA KULALA
MASTER 1
SEBLE KUBWA SAFI
JIKO NDANI LA MAKABATI
PUBLIC TOILET INSIDE
MAFENI JUU
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
PARKING KUBWA, PAVING BLOCKS
MAZINGIRA TULIVU SANA
MAWASILIANO;
06595O7709
06595O7709



















