2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 22/11/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#PARKING
#GARDEN
# INAYOPANGISHWA NI YA KWANZA SIO GOROFANI NDUGU MTEJA
📌ANATAKIWA MPANGAJI ASIE NA FAMILIA KUBWA AU MR & MRS
BEI NI 500,000/= X 6
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA TAHADHARI (CAUTION MONEY) JUMLA INAKUA MIEZI 6 NDUGU MTEJA
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















