2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION:
MBEZI MWISHO/ KWA YUSUFU
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 8 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER 
SEBULE 
JIKO ZURI LENYEMAKABATI 
PACKING SPACE 
UWANJANI PAVING BLOCK 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
KODI 550,000 X 3,4,5,6 
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710



















