2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA
IPO JIRANI NA BARABARA
INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= X 6
AGENT FEE 1 MONTH
SURVEY CHARGE 20K
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
ππ CONTACT
CALL/WHATSAPP...O677370515