2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM 2..
ZIPO MBILI NDANI YA FENSI NA MOJA IPO WAZI
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA
-JIKO
-PUBLIC TOILET NDANI
-UMEME WAKE
-MAJI MITER YAKO
-TANK LA MAJI LITA 1000
-NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
BEI NI 200,000 ILIPWE MIEZI 6
HAPA UNAISHINI KWA MALENGO USIPO JENGA BASI UMELOGWA SO WAHI UWISHI KWA MALENGO HII NYUMBA INA BARAKA TELEE
SIMU 0659336751 WSP 0786085637