2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach( Karibu na Massana Hospital) , Dar-Es-Salaam, Tanzania๐น๐ฟ
Ina :
๐ธ๏ธ Vyumba Viwili Vya Kulala ( Vyote Masta)
๐ธ๏ธ Sebule
๐ธ๏ธ Jiko la Kisasa lenye Makabati
๐ธ๏ธ Choo cha Public
๐ธ๏ธ Parking Space
Inajitegemea kwenye Umeme na Maji
Ziko 6 Kwenye Fensi,
๐Dakika 2 Kwa Mguu Kutoka Lami.
๐Airbnb Inaruhusiwa.
Bei : 1,500,000 Tsh Kwa Mwezi
Zitakuwa Tayar 1/7/2025