2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE NZURI
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#JIKO ZURI LIPO NJE
#PUBLIC TOILET IPO KWA NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
=====
Cont
0683234124
0718367179